Exhibition during the Launch of National Multi-Sectoral Early Childhood Development Programme (NM-ECDP) 2021/22 – 2025/26.
WAZIRI GWAJIMA AIPONGEZA MCT KWA KUTUMIA MFUMO WA MONTESSORI KUFUNDISHA WATOTO
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dk. Dorothy Gwajima,akiwa na watoto wakizundua Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto (PJT-MMMAM ) hafla iliyofanyika leo Desemba 13,2021 jijini Dodoma. Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dk. Dorothy Gwajima,akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti […]